Published By: | Mary C. Gwera |
---|
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma pichani akikagua gwaride maalum kuashiria uzinduzi rasmi wa mwaka mpya wa Mahakama kwa mwaka 2019. Ukaguzi wa gwaride ulifanyika Siku ya Sheria nchini, Februari 06, 2019.