Published By: | Mary C. Gwera |
---|
Sehemu ya Majaji wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakimsikiliza Mhe. Jaji Mkuu alipokuwa akifungua rasmi Mafunzo elekezi, ufunguzi wa mafunzo hayo ulifanyika Februari 15, katika Ukumbi wa Mafunzo uliopo Kisutu jijini Dar es Salaam.